1
Wafilipi 1:6
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Nina hakika kwamba yeye aliyeianza kazi njema mioyoni mwenu, ataiendeleza na kuikamilisha hata siku ya Al-Masihi Isa.
Linganisha
Chunguza Wafilipi 1:6
2
Wafilipi 1:9-10
Haya ndio maombi yangu: kwamba upendo wenu uongezeke zaidi na zaidi katika maarifa na ufahamu wote, ili mpate kutambua yale yaliyo mema, mkawe safi, wasio na hatia hadi siku ya Al-Masihi
Chunguza Wafilipi 1:9-10
3
Wafilipi 1:21
Kwa maana kwangu mimi, kuishi ni Al-Masihi, na kufa ni faida.
Chunguza Wafilipi 1:21
4
Wafilipi 1:3
Ninamshukuru Mungu wangu kila niwakumbukapo ninyi.
Chunguza Wafilipi 1:3
5
Wafilipi 1:27
Lakini lolote litakalotukia, mwenende kama ipasavyo Injili ya Al-Masihi, ili nikija na kuwaona au ikiwa sipo, nipate kusikia haya juu yenu: Kuwa mnasimama imara katika roho moja, mkiishindania imani ya Injili kwa umoja
Chunguza Wafilipi 1:27
6
Wafilipi 1:20
Ninatarajia kwa shauku kubwa na kutumaini kwamba sitaaibika kwa njia yoyote, bali nitakuwa na ujasiri wa kutosha ili sasa kama wakati mwingine wowote, Al-Masihi atukuzwe katika mwili wangu, ikiwa ni kwa kuishi au kwa kufa.
Chunguza Wafilipi 1:20
7
Wafilipi 1:29
Kwa maana mmepewa kwa ajili ya Al-Masihi, si kumwamini tu, bali pia kuteswa kwa ajili yake
Chunguza Wafilipi 1:29
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video