1
Zaburi 103:2
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Ee nafsi yangu, umhimidi Mwenyezi Mungu, wala usisahau wema wake wote
Linganisha
Chunguza Zaburi 103:2
2
Zaburi 103:3-5
akusamehe dhambi zako zote, akuponya magonjwa yako yote, aukomboa uhai wako na kaburi, akuvika taji la upendo na huruma, atosheleza mahitaji yako kwa vitu vyema, ili ujana wako uhuishwe kama wa tai.
Chunguza Zaburi 103:3-5
3
Zaburi 103:1
Ee nafsi yangu, umhimidi Mwenyezi Mungu. Vyote vilivyo ndani yangu vilihimidi jina lake takatifu.
Chunguza Zaburi 103:1
4
Zaburi 103:13
Kama baba alivyo na huruma kwa watoto wake, ndivyo Mwenyezi Mungu anavyowahurumia wale wanaomcha
Chunguza Zaburi 103:13
5
Zaburi 103:12
kama mashariki ilivyo mbali na magharibi, ndivyo Mungu alivyoziweka dhambi zetu mbali nasi.
Chunguza Zaburi 103:12
6
Zaburi 103:8
Mwenyezi Mungu ni mwingi wa huruma na mwenye neema; si mwepesi wa hasira, bali amejaa upendo.
Chunguza Zaburi 103:8
7
Zaburi 103:10-11
yeye hatutendei kulingana na dhambi zetu wala hatupatilizi kwa kadiri ya maovu yetu. Kama vile mbingu zilivyo juu ya dunia, ndivyo wema wake ulivyo mwingi kwa wanaomcha
Chunguza Zaburi 103:10-11
8
Zaburi 103:19
Mwenyezi Mungu ameweka imara kiti chake cha enzi mbinguni, na ufalme wake unatawala vitu vyote.
Chunguza Zaburi 103:19
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video