1
Zaburi 22:1
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? Kwa nini uko mbali hivyo kuniokoa? Mbali hivyo na maneno ya kuugua kwangu?
Linganisha
Chunguza Zaburi 22:1
2
Zaburi 22:5
Walikulilia wewe na ukawaokoa, walikutegemea wewe nao hawakuaibika.
Chunguza Zaburi 22:5
3
Zaburi 22:27-28
Miisho yote ya dunia itakumbuka na kumgeukia Mwenyezi Mungu, nazo jamaa zote za mataifa zitasujudu mbele zake, kwa maana ufalme ni wa Mwenyezi Mungu naye huyatawala mataifa.
Chunguza Zaburi 22:27-28
4
Zaburi 22:18
Wanagawana nguo zangu, na vazi langu wanalipigia kura.
Chunguza Zaburi 22:18
5
Zaburi 22:31
Watatangaza haki yake kwa watu ambao hawajazaliwa bado, kwa maana yeye ametenda hili.
Chunguza Zaburi 22:31
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video