1
Zaburi 24:1
Neno: Bibilia Takatifu
Dunia ni mali ya BWANA, na vyote vilivyomo ndani yake, ulimwengu, na wote waishio ndani yake
Linganisha
Chunguza Zaburi 24:1
2
Zaburi 24:10
Ni nani yeye, huyu Mfalme wa utukufu? Ni BWANA Mwenye Nguvu Zote; yeye ndiye Mfalme wa utukufu.
Chunguza Zaburi 24:10
3
Zaburi 24:3-4
Nani awezaye kuupanda mlima wa BWANA? Ni nani awezaye kusimama patakatifu pake? Ni yule mwenye mikono safi na moyo mweupe, yule ambaye hakuinulia sanamu nafsi yake au kuapa kwa kitu cha uongo.
Chunguza Zaburi 24:3-4
4
Zaburi 24:8
Ni nani huyu Mfalme wa utukufu? Ni BWANA aliye na nguvu na uweza, ni BWANA aliye hodari katika vita.
Chunguza Zaburi 24:8
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video