1
Zaburi 35:1
Neno: Bibilia Takatifu
Ee BWANA, pingana na wale wanaopingana nami, upigane na hao wanaopigana nami.
Linganisha
Chunguza Zaburi 35:1
2
Zaburi 35:27
Wale wanaofurahia hukumu yangu ya haki wapige kelele za shangwe na furaha; hebu waseme siku zote, “BWANA atukuzwe, ambaye amefurahia mafanikio ya mtumishi wake.”
Chunguza Zaburi 35:27
3
Zaburi 35:28
Ulimi wangu utanena haki yako na sifa zako mchana kutwa.
Chunguza Zaburi 35:28
4
Zaburi 35:10
Nitapaza sauti yangu nikisema, “Ni nani aliye kama wewe, Ee BWANA? Wewe huwaokoa maskini kutokana na wale walio na nguvu kuliko wao, maskini na mhitaji kutokana na wanaowanyangʼanya!”
Chunguza Zaburi 35:10
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video