1
Zaburi 8:4
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
mwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria, binadamu ni nani hata unamjali?
Linganisha
Chunguza Zaburi 8:4
2
Zaburi 8:3
Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako, mwezi na nyota, ulizoziratibisha
Chunguza Zaburi 8:3
3
Zaburi 8:5-6
Umemfanya chini kidogo kuliko viumbe wa mbinguni, ukamvika taji la utukufu na heshima. Umemfanya mtawala juu ya kazi za mikono yako; umeweka vitu vyote chini ya miguu yake.
Chunguza Zaburi 8:5-6
4
Zaburi 8:9
Ee Mwenyezi Mungu, Bwana wetu, tazama jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani kote!
Chunguza Zaburi 8:9
5
Zaburi 8:1
Ee Mwenyezi Mungu, Bwana wetu, tazama jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani kote! Umeuweka utukufu wako juu ya mbingu.
Chunguza Zaburi 8:1
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video