1
Zaburi 9:10
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Wote wanaolijua jina lako watakutumaini wewe, kwa maana wewe Mwenyezi Mungu, hujawaacha kamwe wanaokutafuta.
Linganisha
Chunguza Zaburi 9:10
2
Zaburi 9:1
Ee Mwenyezi Mungu, nitakutukuza kwa moyo wangu wote, nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu.
Chunguza Zaburi 9:1
3
Zaburi 9:9
Mwenyezi Mungu ni kimbilio la wanaodhulumiwa, ni ngome imara wakati wa shida.
Chunguza Zaburi 9:9
4
Zaburi 9:2
Nitafurahi na kushangilia ndani yako. Nitaliimbia sifa jina lako, Ewe Uliye Juu Sana.
Chunguza Zaburi 9:2
5
Zaburi 9:8
Mungu atahukumu ulimwengu kwa haki, atatawala mataifa kwa haki.
Chunguza Zaburi 9:8
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video