1
Zaburi 91:2
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Nitasema kumhusu Mwenyezi Mungu, “Yeye ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu, ninayemtumaini.”
Linganisha
Chunguza Zaburi 91:2
2
Zaburi 91:1
Yeye akaaye mahali pa salama pake Yeye Aliye Juu Sana, atadumu katika uvuli wake Mwenyezi.
Chunguza Zaburi 91:1
3
Zaburi 91:15
Ataniita, nami nitamjibu; nitakuwa pamoja naye katika taabu, nitamwokoa na kumheshimu.
Chunguza Zaburi 91:15
4
Zaburi 91:11
Kwa kuwa atawaagiza malaika wake kwa ajili yako, wakulinde katika njia zako zote.
Chunguza Zaburi 91:11
5
Zaburi 91:4
Atakufunika kwa manyoya yake, chini ya mabawa yake utapata kimbilio, uaminifu wake utakuwa ngao na kinga yako.
Chunguza Zaburi 91:4
6
Zaburi 91:9-10
Ukimfanya Aliye Juu Sana kuwa makao yako; naam, Mwenyezi Mungu ambaye ni kimbilio langu; basi hakuna madhara yatakayokupata wewe, hakuna maafa yatalikaribia hema lako.
Chunguza Zaburi 91:9-10
7
Zaburi 91:3
Hakika yeye ataniokoa na mtego wa mwindaji, na maradhi ya kuambukiza ya kuua.
Chunguza Zaburi 91:3
8
Zaburi 91:7
Ijapo watu elfu wataangukia kando yako, kumi elfu mkono wako wa kuume, lakini haitakukaribia wewe.
Chunguza Zaburi 91:7
9
Zaburi 91:5-6
Hutaogopa vitisho vya usiku, wala mshale urukao mchana, wala maradhi ya kuambukiza yanayonyemelea gizani, wala tauni iharibuyo adhuhuri.
Chunguza Zaburi 91:5-6
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video