1
Ufunuo 18:4
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni ikisema: “ ‘Tokeni katikati yake, enyi watu wangu,’ ili msije mkashiriki dhambi zake, ili msije mkapatwa na pigo lake lolote
Linganisha
Chunguza Ufunuo 18:4
2
Ufunuo 18:2
Naye akapaza sauti kwa nguvu, akisema: “ ‘Umeanguka! Umeanguka Babeli Mkuu!’ Umekuwa makao ya mashetani na makazi ya kila pepo mchafu, makazi ya kila ndege na kila mnyama achukizaye.
Chunguza Ufunuo 18:2
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video