1
Kum 20:4
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
kwa maana BWANA, Mungu wenu, ndiye awaandamaye kwenda kuwapigania juu ya adui zenu, ili kuwaokoa ninyi.
Linganisha
Chunguza Kum 20:4
2
Kum 20:1
Utokapo kwenda vitani kupigana na adui zako, na kuona farasi, na magari, na watu wengi kuliko wewe, usiwaogope; kwa kuwa BWANA Mungu wako, yu pamoja nawe, aliyekukweza kutoka nchi ya Misri.
Chunguza Kum 20:1
3
Kum 20:3
awaambie, Sikizeni, enyi Israeli, hivi leo mwasongea mapiganoni juu ya adui zenu mioyo yenu na isizime; msiche, wala msiteteme, wala msiingiwe na hofu kwa ajili ya wao
Chunguza Kum 20:3
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video