1
Mt 27:46
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Linganisha
Chunguza Mt 27:46
2
Mt 27:51-52
Na tazama, pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu hata chini; nchi ikatetemeka; miamba ikapasuka; makaburi yakafunuka; ikainuka miili mingi ya watakatifu waliolala
Chunguza Mt 27:51-52
3
Mt 27:50
Naye Yesu akiisha kupaza sauti tena kwa nguvu, akaitoa roho yake.
Chunguza Mt 27:50
4
Mt 27:54
Basi yule akida, na hao waliokuwa pamoja naye wakimlinda Yesu, walipoliona tetemeko la nchi na mambo yaliyofanyika, wakaogopa sana, wakisema, Hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu.
Chunguza Mt 27:54
5
Mt 27:45
Basi tangu saa sita palikuwa na giza juu ya nchi yote hata saa tisa.
Chunguza Mt 27:45
6
Mt 27:22-23
Pilato akawaambia, Basi, nimtendeje Yesu aitwaye Kristo? Wakasema wote, Asulibiwe. Akasema, Kwani? Ni ubaya gani alioutenda? Wakazidi sana kupiga kelele, wakisema, Na asulibiwe.
Chunguza Mt 27:22-23
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video