1
Mit 24:3
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Nyumba hujengwa kwa hekima, Na kwa ufahamu huthibitika
Linganisha
Chunguza Mit 24:3
2
Mit 24:17
Usifurahi, adui yako aangukapo; Wala moyo wako usishangilie ajikwaapo
Chunguza Mit 24:17
3
Mit 24:33-34
Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, Bado kukunja mikono upate usingizi! Hivyo, umaskini wako huja kama mnyang’anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.
Chunguza Mit 24:33-34
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video