1
Mit 4:23
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.
Linganisha
Chunguza Mit 4:23
2
Mit 4:26
Ulisawazishe pito la mguu wako, Na njia zako zote zithibitike
Chunguza Mit 4:26
3
Mit 4:24
Kinywa cha ukaidi ukitenge nawe, Na midomo ya upotovu uiweke mbali nawe.
Chunguza Mit 4:24
4
Mit 4:7
Bora hekima, basi jipatie hekima; Naam, kwa mapato yako yote jipatie ufahamu.
Chunguza Mit 4:7
5
Mit 4:18-19
Bali njia ya wenye haki ni kama nuru ing’aayo, Ikizidi kung’aa hata mchana mkamilifu. Njia ya waovu ni kama giza; Hawajui ni kitu gani kiwakwazacho.
Chunguza Mit 4:18-19
6
Mit 4:6
Usimwache, naye atakuhifadhi; Umpende, naye atakulinda.
Chunguza Mit 4:6
7
Mit 4:13
Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni uzima wako.
Chunguza Mit 4:13
8
Mit 4:14
Usiingie katika njia ya waovu, Wala usitembee katika njia ya wabaya.
Chunguza Mit 4:14
9
Mit 4:1
Wanangu, yasikilizeni mausia ya baba yenu, Tegeni masikio mpate kujua ufahamu.
Chunguza Mit 4:1
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video