1
Zab 17:8
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Unilinde kama mboni ya jicho, Unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako
Linganisha
Chunguza Zab 17:8
2
Zab 17:15
Bali mimi nikutazame uso wako katika haki, Niamkapo nishibishwe kwa sura yako.
Chunguza Zab 17:15
3
Zab 17:6-7
Ee Mungu, nimekuita kwa maana utaitika, Utege sikio lako ulisikie neno langu. Dhihirisha fadhili zako za ajabu Wewe uwaokoaye wanaokukimbilia; Kwa mkono wako wa kuume Uwaokoe nao wanaowaondokea.
Chunguza Zab 17:6-7
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video