Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 17:6-7

Zab 17:6-7 SUV

Ee Mungu, nimekuita kwa maana utaitika, Utege sikio lako ulisikie neno langu. Dhihirisha fadhili zako za ajabu Wewe uwaokoaye wanaokukimbilia; Kwa mkono wako wa kuume Uwaokoe nao wanaowaondokea.

Soma Zab 17

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 17:6-7