1
1 Timotheo 5:8
Swahili Revised Union Version
Lakini mtu yeyote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini.
Linganisha
Chunguza 1 Timotheo 5:8
2
1 Timotheo 5:1
Mzee usimkemee, bali umwonye kama baba; na wanaume vijana kama ndugu
Chunguza 1 Timotheo 5:1
3
1 Timotheo 5:17
Wazee watawalao vema na wahesabiwe kustahili heshima maradufu; hasa wao wajitaabishao kwa kutoa unabii na kufundisha.
Chunguza 1 Timotheo 5:17
4
1 Timotheo 5:22
Usimwekee mtu mikono kwa haraka, wala usizishiriki dhambi za watu wengine. Ujilinde nafsi yako uwe safi.
Chunguza 1 Timotheo 5:22
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video