1
Waraka kwa Waebrania 6:19
Swahili Revised Union Version
tuliyo nayo kama nanga ya roho, yenye salama, yenye nguvu, yaingiayo hata mle mlimo ndani ya pazia
Linganisha
Chunguza Waraka kwa Waebrania 6:19
2
Waraka kwa Waebrania 6:10
Maana Mungu si dhalimu hata aisahau kazi yenu, na pendo lile mlilolidhihirisha kwa jina lake, kwa kuwa mmewahudumia watakatifu, na hata hivi sasa mngali mkiwahudumia.
Chunguza Waraka kwa Waebrania 6:10
3
Waraka kwa Waebrania 6:18
ili kwa vitu viwili visivyoweza kubadilika, ambavyo katika hivyo Mungu hawezi kusema uongo, tupate faraja iliyo imara, sisi tuliokimbilia kuyashika matumaini yale yawekwayo mbele yetu
Chunguza Waraka kwa Waebrania 6:18
4
Waraka kwa Waebrania 6:1
Kwa sababu hiyo, tukiacha kuyanena mafundisho ya kwanza ya Kristo, tukaze mwendo ili tuufikie utimilifu; tusiweke msingi tena wa kuzitubia kazi zisizo na uhai, na wa kuwa na imani kwa Mungu
Chunguza Waraka kwa Waebrania 6:1
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video