1
Marko 14:36
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Akasema, “ Aba , yaani Baba, vyote vinawezekana kwako wewe. Hebu kiondoe kikombe hiki kutoka kwangu, Lakini usifanye kama ninavyopenda mimi, lakini kama unavyopenda wewe.”
Linganisha
Chunguza Marko 14:36
2
Marko 14:38
Kaeni macho na kuomba, ili msije mkaingia majaribuni. Roho inataka lakini mwili ni dhaifu.”
Chunguza Marko 14:38
3
Marko 14:9
Ninawaambia kweli: Popote injili itakapohubiriwa ulimwenguni, kile alichokifanya kitasimuliwa kwa kumkumbuka.”
Chunguza Marko 14:9
4
Marko 14:34
Akawaambia, “Nina huzuni sana na ninafikiri inaweza kuniua. Kaeni hapa, na mjihadhari.”
Chunguza Marko 14:34
5
Marko 14:22
Na walipokuwa wakila Yesu aliuchukua mkate, akamshukuru Mungu kwa huo. Akamega vipande, akawapa wanafunzi wake, na kusema, “Chukueni na mle mkate huu. Ni mwili wangu.”
Chunguza Marko 14:22
6
Marko 14:23-24
Kisha akakichukua kikombe chenye divai, akamshukuru Mungu kwa hicho, akawapa. Wote wakanywa toka kile kikombe. Kisha akasema, “Kinywaji hiki ni damu yangu ambayo kwayo Mungu anafanya agano na watu wake. Damu yangu inamwagika kwa manufaa ya watu wengi.
Chunguza Marko 14:23-24
7
Marko 14:27
Yesu akawaambia, “Nyote mtaniacha, kwani imeandikwa, ‘Nitamuua mchungaji, na kondoo watatawanyika.’
Chunguza Marko 14:27
8
Marko 14:42
Amkeni! Twendeni! Tazama! Yule atakayenisaliti amekaribia.”
Chunguza Marko 14:42
9
Marko 14:30
Ndipo Yesu akamjibu kusema, “Ukweli ni kwamba, usiku wa leo utasema kuwa hunijui. Utasema hivyo mara tatu kabla ya jogoo kuwika mara mbili.”
Chunguza Marko 14:30
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video