1
Marko 15:34
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mnamo saa tisa Yesu alipiga kelele kwa sauti na kusema, “ Eloi, Eloi, lema sabakthani? ” maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”
Linganisha
Chunguza Marko 15:34
2
Marko 15:39
Yule afisa wa jeshi aliyekuwa amesimama pale mbele na kuona jinsi Yesu alivyokufa. Afisa huyu alisema, “mtu huyu hakika alikuwa mwana wa Mungu!”
Chunguza Marko 15:39
3
Marko 15:38
Hapo pazia la Hekalu lilipasuka vipande viwili kutoka juu hadi chini.
Chunguza Marko 15:38
4
Marko 15:37
Yesu akalia kwa sauti kubwa na kisha akafa.
Chunguza Marko 15:37
5
Marko 15:33
Ilipofika saa sita mchana giza ilifunika nchi yote. Giza liliendelea hadi saa tisa.
Chunguza Marko 15:33
6
Marko 15:15
Pilato alitaka kuwaridhisha watu, kwa hiyo alimweka huru Baraba kwa ajili yao. Akaamuru maaskari wampige Yesu viboko na kisha akamtoa kwao ili akauawe kwenye msalaba.
Chunguza Marko 15:15
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video