1
Luka 11:13
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Basi ikiwa ninyi, mlio waovu, mnajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, si zaidi sana Baba yenu aliye mbinguni atawapa Roho Mtakatifu wa Mungu wale wamwombao!”
Linganisha
Chunguza Luka 11:13
2
Luka 11:9
“Kwa hiyo nawaambia: Ombeni nanyi mtapewa; tafuteni nanyi mtapata; bisheni nanyi mtafunguliwa mlango.
Chunguza Luka 11:9
3
Luka 11:10
Kwa kuwa kila aombaye hupewa; naye kila atafutaye hupata; na kila abishaye hufunguliwa mlango.
Chunguza Luka 11:10
4
Luka 11:2
Akawaambia, “Mnapoomba, semeni: “ ‘Baba yetu [uliye mbinguni], jina lako litukuzwe, ufalme wako uje. [ Mapenzi yako yafanyike hapa duniani kama huko mbinguni.]
Chunguza Luka 11:2
5
Luka 11:4
Utusamehe dhambi zetu, kwa kuwa na sisi huwasamehe wote wanaotukosea. Wala usitutie majaribuni [bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu].’ ”
Chunguza Luka 11:4
6
Luka 11:3
Utupatie kila siku riziki yetu.
Chunguza Luka 11:3
7
Luka 11:34
Jicho lako ni taa ya mwili wako. Kama jicho lako ni zima, mwili wako wote pia umejaa nuru. Lakini kama jicho ni bovu, mwili wako wote pia umejaa giza.
Chunguza Luka 11:34
8
Luka 11:33
“Hakuna mtu yeyote awashaye taa na kuiweka mahali palipofichika au kuifunikia chini ya bakuli. Badala yake huiweka juu ya kinara chake, ili watu wote wanaoingia waone nuru.
Chunguza Luka 11:33
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video