1
Kumbukumbu la Sheria 20:4
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ndiye atakayekwenda pamoja nanyi kupigana kwa niaba yenu dhidi ya adui zenu na kuwapa ushindi.’
Linganisha
Chunguza Kumbukumbu la Sheria 20:4
2
Kumbukumbu la Sheria 20:1
“Mkienda vitani kupigana na adui zenu, mkaona farasi, magari na jeshi kubwa zaidi kuliko lenu msiwaogope. Maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliyewatoa Misri, atakuwa nanyi.
Chunguza Kumbukumbu la Sheria 20:1
3
Kumbukumbu la Sheria 20:3
‘Watu wa Israeli sikilizeni! Leo mnakaribia kupigana dhidi ya adui zenu. Msife moyo, au kuogopa, au kutishika, au kuwaogopa adui
Chunguza Kumbukumbu la Sheria 20:3
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video