1
Kumbukumbu la Sheria 34:10
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
Hapajatokea tena nabii katika Israeli kama Mose, ambaye Mwenyezi-Mungu aliongea naye ana kwa ana.
Linganisha
Chunguza Kumbukumbu la Sheria 34:10
2
Kumbukumbu la Sheria 34:9
Yoshua mwana wa Nuni alijaa roho ya hekima, kwa kuwa Mose alikuwa amemwekea mikono yake. Hivyo Waisraeli walimtii Yoshua na kufuata amri ambazo Mwenyezi-Mungu alimpa Mose.
Chunguza Kumbukumbu la Sheria 34:9
3
Kumbukumbu la Sheria 34:7
Mose alikuwa na umri wa miaka 120 alipofariki; macho yake yalikuwa hayajafifia, na alikuwa timamu na mwenye nguvu.
Chunguza Kumbukumbu la Sheria 34:7
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video