1
Marko 10:45
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
Maana Mwana wa Mtu hakuja kutumikiwa, ila kutumikia, na kutoa maisha yake kuwa fidia ya watu wengi.”
Linganisha
Chunguza Marko 10:45
2
Marko 10:27
Yesu akawatazama, akawaambia, “Kwa binadamu haiwezekani, lakini kwa Mungu si hivyo, maana kwa Mungu mambo yote huwezekana.”
Chunguza Marko 10:27
3
Marko 10:52
Yesu akamwambia, “Nenda, imani yako imekuponya.” Mara huyo kipofu akaweza kuona, akamfuata Yesu njiani.
Chunguza Marko 10:52
4
Marko 10:9
Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asitenganishe.”
Chunguza Marko 10:9
5
Marko 10:21
Yesu akamtazama, akampenda, akamwambia, “Umepungukiwa na kitu kimoja: Nenda ukauze kila kitu ulicho nacho, uwape maskini hizo fedha, nawe utakuwa na hazina mbinguni, kisha uje unifuate.”
Chunguza Marko 10:21
6
Marko 10:51
Yesu akamwuliza, “Unataka nikufanyie nini?” Huyo kipofu akamwambia, “Mwalimu, naomba nipate kuona.”
Chunguza Marko 10:51
7
Marko 10:43
Lakini kwenu isiwe hivyo, ila anayetaka kuwa mkubwa kati yenu, sharti awe mtumishi wenu.
Chunguza Marko 10:43
8
Marko 10:15
Nawaambieni kweli, mtu yeyote asiyeupokea ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo hataingia humo.”
Chunguza Marko 10:15
9
Marko 10:31
Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza.”
Chunguza Marko 10:31
10
Marko 10:6-8
Lakini tangu kuumbwa ulimwengu, Mungu aliumba mwanamume na mwanamke. Hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja. Kwa hiyo, wao si wawili tena bali mwili mmoja.
Chunguza Marko 10:6-8
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video