1
Marko 11:24
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
Kwa hiyo nawaambieni, mnaposali na kuomba kitu, aminini kwamba mmekipokea, nanyi mtapewa.
Linganisha
Chunguza Marko 11:24
2
Marko 11:23
Nawaambieni kweli, mtu akiuambia mlima huu: ‘Ngoka ukajitose baharini,’ bila kuona shaka moyoni mwake, ila akaamini kwamba mambo yote anayosema yanafanyika, atafanyiwa jambo hilo.
Chunguza Marko 11:23
3
Marko 11:25
Mnaposimama kusali, msameheni kila mtu aliyewakosea chochote, ili Baba yenu aliye mbinguni awasamehe nyinyi makosa yenu.” [
Chunguza Marko 11:25
4
Marko 11:22
Yesu akawaambia, “Mwaminini Mungu.
Chunguza Marko 11:22
5
Marko 11:17
Kisha akawafundisha, “Imeandikwa: ‘Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa ajili ya mataifa yote!’ Lakini nyinyi mmeifanya kuwa pango la wanyanganyi!”
Chunguza Marko 11:17
6
Marko 11:9
Watu wote waliotangulia na wale waliofuata, wakapaza sauti zao wakisema, “Sifa! Abarikiwe huyo ajaye kwa jina la Bwana!
Chunguza Marko 11:9
7
Marko 11:10
Ubarikiwe ufalme ujao wa baba yetu Daudi. Sifa kwa Mungu juu mbinguni!”
Chunguza Marko 11:10
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video