1
Yohana 12:26
BIBLIA KISWAHILI
Mtu akinitumikia, na anifuate; nami nilipo, ndipo na mtumishi wangu atakapokuwapo. Tena mtu akinitumikia, Baba atamheshimu.
Linganisha
Chunguza Yohana 12:26
2
Yohana 12:25
Yeye aipendaye nafsi yake ataiangamiza; naye aichukiaye nafsi yake katika ulimwengu huu ataisalimisha hata uzima wa milele.
Chunguza Yohana 12:25
3
Yohana 12:24
Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali hiyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi.
Chunguza Yohana 12:24
4
Yohana 12:46
Mimi nimekuja ili niwe nuru ya ulimwengu, ili kila mtu aniaminiye mimi asikae gizani.
Chunguza Yohana 12:46
5
Yohana 12:47
Na mtu akiyasikia maneno yangu, asiyashike, mimi simhukumu; maana sikuja ili niuhukumu ulimwengu, ila niuokoe ulimwengu.
Chunguza Yohana 12:47
6
Yohana 12:3
Basi Mariamu akatwaa ratili ya marhamu ya nardo safi yenye thamani nyingi, akampaka Yesu miguu, akamfuta miguu kwa nywele zake. Nayo nyumba pia ikajaa harufu ya marhamu.
Chunguza Yohana 12:3
7
Yohana 12:13
wakatwaa matawi ya mitende, wakatoka nje kwenda kumlaki, wakapiga makelele, Hosana! Ndiye mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana, Mfalme wa Israeli!
Chunguza Yohana 12:13
8
Yohana 12:23
Naye Yesu akawajibu, akasema, Saa imefika atukuzwe Mwana wa Adamu.
Chunguza Yohana 12:23
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video