1
Matendo 14:15
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Sisi nasi tu wana Adamu hali moja na ninyi; twawakhubiri khabari njema mgenke na kuyaacha mambo haya ya ubatili na kumwelekea Mungu aliye hayi, aliyeumba mbingu na inchi na bahari na vitu vyotc vilivyomo
Linganisha
Chunguza Matendo 14:15
2
Matendo 14:9-10
Mtu huyo alimsikia Paolo akinena; nae akamkazia macho akaona ya kuwa ana imani ya kuponywa, akanena kwa sauti kuu, Simama kwa miguu yako sawa sawa. Akasimama upesi akaenda.
Chunguza Matendo 14:9-10
3
Matendo 14:23
Na walipokwisha kuchagua wazee katika killa mji, na kuomba pamoja na kufunga, wakawaweka kafika mikono ya Bwana waliyemwamini.
Chunguza Matendo 14:23
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video