1
Matendo 13:2-3
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Bassi hawa walipokuwa wakimkhudumia Bwana na kufunga, Roho Mtakatifu akasema, Niwekeeni Barnaba na Saul kwa kazi ile niliyowaitia. Ndipo, wakiisha kuomba na kufunga, wakaweka mikono yao juu yao, wakawaacha waende zao.
Linganisha
Chunguza Matendo 13:2-3
2
Matendo 13:39
na kwa huyu killa amwaminiye huhesabiwa kuwa hana khatiya katika mambo yale asiyoweza kuhesabiwa kuwa hana khatiya kwa torati ya Musa.
Chunguza Matendo 13:39
3
Matendo 13:47
Kwa sababu ndivyo tulivyoamriwa na Bwana, Nimekuweka uwe nuru ya mataifa, Upate kuwa wokofu hatta mwisho wa dunia
Chunguza Matendo 13:47
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video