1
Yohana MT. 18:36
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Yesu akajibu, Ufalme wangu sio wa ulimwengu huu, kama ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu huu: watumishi wangu wangalinipigania, nisije nikatiwa mikononi mwa Wayahudi: lakini sasa ufalme wangu sio wa hapa.
Linganisha
Chunguza Yohana MT. 18:36
2
Yohana MT. 18:11
Bassi Yesu akamwambia Petro, Rudisha upanga wako alani mwake. Kikombe alichonipa Baba, nisikinywee?
Chunguza Yohana MT. 18:11
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video