1
Yohana MT. 19:30
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Bassi Yesu alipoipokea siki, akasema, Imekwisha: akainama kichwa, akatoa roho.
Linganisha
Chunguza Yohana MT. 19:30
2
Yohana MT. 19:28
Baada ya haya Yesu, akijua ya kuwa yote yamekwisha kumalizwa, andiko litimizwe, akasema, Nina kiu.
Chunguza Yohana MT. 19:28
3
Yohana MT. 19:26-27
Bassi Yesu alipomwona mama yake, na yule mwanafunzi aliyempenda amesimama karibu, akamwambia mama yake, Bibi, tazama, mwana wako. Baadae akamwambia mwanafunzi, Tazama, mama yako. Na tangu saa ile mwanafunzi yule akamchukua kwake.
Chunguza Yohana MT. 19:26-27
4
Yohana MT. 19:33-34
Walipomjia Yesu, wakiona ya kuwa amekwisha kufa, hawakumvunja miguu; lakini askari mmoja kwa mkuki alimchoma ubavu, ikatoka marra damu na maji.
Chunguza Yohana MT. 19:33-34
5
Yohana MT. 19:36-37
Kwa maana haya yalitukia andiko litimie, Hapana mfupa wake utakaovunjwa. Na tena, andiko la pili lanena, Watamtazama yeye waliyemchoma.
Chunguza Yohana MT. 19:36-37
6
Yohana MT. 19:17
akatoka, akijichukulia msalaba wake, hatta mahali paitwapo pa kichwa, na kwa Kiebrania Golgotha
Chunguza Yohana MT. 19:17
7
Yohana MT. 19:2
Askari wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani, wakamvika vazi jekundu; wakawa wakimwendea
Chunguza Yohana MT. 19:2
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video