1
Yohana MT. 20:21-22
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Bassi Yesu akawaambia marra ya pili, Amani kwenu; kama Baba alivyonipeleka, nami nawatuma ninyi. Akiisha kusema haya, akawapulizia, akawaambia, Pokeeni Roho Mtakatifu.
Linganisha
Chunguza Yohana MT. 20:21-22
2
Yohana MT. 20:29
Yesu amwambia, Kwa kuwa umeniona, umeamini; wa kheri wasioona wakaamini.
Chunguza Yohana MT. 20:29
3
Yohana MT. 20:27-28
Akiisha akamwambia Tomaso, Lete hapa kidole chako, ukatazame mikono yangu; kalete mkono wako, uutie katika ubavu wangu; wala nsiwe asiyeamini, bali aaminiye. Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu, na Mungu wangu.
Chunguza Yohana MT. 20:27-28
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video