1
Mattayo MT. 23:11
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Nae aliye mkubwa wenu atakuwa mtumishi wenu.
Linganisha
Chunguza Mattayo MT. 23:11
2
Mattayo MT. 23:12
Na ye yote atakaejikuza, atadhiliwa; na ye yote atakaejidhili, atakuzwa.
Chunguza Mattayo MT. 23:12
3
Mattayo MT. 23:23
Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! kwa kuwa mnalipa zaka za mnaana na bizari na kumini, mkaacha mambo makuu ya sharia, hukumu, na rehema, na imani: haya imewapasa kuyafanya, na mengine yale msiyaache.
Chunguza Mattayo MT. 23:23
4
Mattayo MT. 23:25
Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! kwa kuwa nmasafisha nje ya kikombe na chungu, na ndani yake vimejaa unyangʼanyi na kutoa kuwa na kiasi.
Chunguza Mattayo MT. 23:25
5
Mattayo MT. 23:37
Ee Yerusalemi, Yerusalemi, wenye kuwaua manabii, na kuwapiga mawe wale waliotumwa kwako! marra ngapi nimetaka kuwakusanya pamoja watoto wako, kama vile kuku avikusanyavyo pamoja vifaranga vyake chini ya mbawa zake, wala hamkukubali!
Chunguza Mattayo MT. 23:37
6
Mattayo MT. 23:28
Vivyo hivyo ninyi nanyi, kwa nje mwaonekana na watu kuwa wenye haki, hali kwa ndani mmejaa unafiki na maasi.
Chunguza Mattayo MT. 23:28
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video