1
Marko MT. 2:17
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Yesu aliposikia akawaambia, Wenye afya hawabitaji tabibu bali walio hawawezi; sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dbambi wapate kutubu.
Linganisha
Chunguza Marko MT. 2:17
2
Marko MT. 2:5
Yesu, alipoiona imani yao, akamwambia yule mwenye kupooza, Mwanangu, dhambi zako zimeondolewa.
Chunguza Marko MT. 2:5
3
Marko MT. 2:27
Akawaambia, Sabato ilikuwa kwa ajili ya mwana Adamu, si mwana Adamu kwa ajili ya sabato.
Chunguza Marko MT. 2:27
4
Marko MT. 2:4
Na walipokuwa hawawezi kumkaribia kwa sababu va makutano, wakaitoboa dari pale alipokuwapo; na wakiisha kuivunja wakakitelemsha kitanda alichokilalia yule mwenye kupooza.
Chunguza Marko MT. 2:4
5
Marko MT. 2:10-11
Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu ana mamlaka duniani ya kuondoa dbambi (amwambia yule inwenye kupooza), Nakuambia, Ondoka, ujitwike kitanda chako ukaende nyumbani kwako.
Chunguza Marko MT. 2:10-11
6
Marko MT. 2:9
Vipi vyepesi, kumwambia mwenye kupooza, Dhambi zako zimeondolewa, au kusema, Ondoka, njitwike kitanda chako, ukaenende?
Chunguza Marko MT. 2:9
7
Marko MT. 2:12
Akaondoka marra, akajitwika kitanda chake, akatoka mbele yao wote; hatta wakastaajabu wote, wakamtukuza Mungu, wakinena, Namna hii hatujapata kuyaona kamwe.
Chunguza Marko MT. 2:12
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video