1
Marko MT. 7:21-23
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya, zina, asharati, wizi, uuaji, tamaa mbaya, hila, jeuri, kijicho, matukano, kiburi, upumbafu. Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu najis.
Linganisha
Chunguza Marko MT. 7:21-23
2
Marko MT. 7:15
Hapana kitu kilicho nje ya mtu ambacho kikimwingia chaweza kumtia najis, bali vimtokayo, ndivyo vimtiavyo najis yule mtu.
Chunguza Marko MT. 7:15
3
Marko MT. 7:6
Akawaambia, Isaya aliwakhubiri vema ninyi wanaliki, kama ilivyoandikwa, Watu hawa hunibeshimu kwa midomo, Bali mioyo yao iko mbali nami
Chunguza Marko MT. 7:6
4
Marko MT. 7:7
Lakini waniabudu ibada ya burre, Wakifundisha mafundisho yaliyo maagizo ya wana Adamu.
Chunguza Marko MT. 7:7
5
Marko MT. 7:8
Kwa maana mmeiacha amri ya Mungu, na kuzishika hadithi za wana Adamu, kuosha midumu na vikombe: na mengine mengi ya namna hii mwayafanya.
Chunguza Marko MT. 7:8
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video