Marko MT. 7:21-23
Marko MT. 7:21-23 SWZZB1921
Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya, zina, asharati, wizi, uuaji, tamaa mbaya, hila, jeuri, kijicho, matukano, kiburi, upumbafu. Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu najis.