Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 7:21-23

Marko 7:21-23 SRUV

Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya, uasherati, wizi, uuaji, uzinzi, tamaa mbaya, ukorofi, hila, ufisadi, kijicho, matukano, kiburi, upumbavu. Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu unajisi.

Soma Marko 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 7:21-23