1
1 Mose 43:23
Swahili Roehl Bible 1937
Naye akasema: Tulieni tu, msiogope! Mungu wenu na Mungu wa baba yenu aliwapatia kilimbiko katika magunia yenu, fedha zenu zilifika kwangu. Kisha akamfungua Simeoni, akamleta kwao
Linganisha
Chunguza 1 Mose 43:23
2
1 Mose 43:30
Kisha Yosefu akakimbilia chumba kingine, apate kulia machozi, kwani alichafukwa na moyo kwa kumfurahia nduguye, namo mle chumbani machozi yakamtoka kweli.
Chunguza 1 Mose 43:30
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video