1
Yohana 9:4
Swahili Roehl Bible 1937
Sisi sharti tuzifanye kazi zake aliyenituma, mchana ukingali upo. Usiku unakuja, pasipowezekana kufanya kazi.
Linganisha
Chunguza Yohana 9:4
2
Yohana 9:5
Nikingali ulimwenguni, mimi ndio mwanga wa ulimwengu.
Chunguza Yohana 9:5
3
Yohana 9:2-3
Wanafunzi wakamwuliza wakisema: Mfunzi mkuu, aliyekosa ni nani? Huyu au wazazi wake, akizaliwa kipofu? Yesu akajibu: Hawakukosa wala huyu wala wazazi wake, ila alizaliwa hivyo, kazi ya Mungu ionekane kwake.
Chunguza Yohana 9:2-3
4
Yohana 9:39
Kisha Yesu akasema: Nimekuja katika ulimwengu huu, niuhukumu, wasioona wapate kuona nao waonao wapate kupofuka.
Chunguza Yohana 9:39
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video