1
Yohana 10:10
Swahili Roehl Bible 1937
Mwizi haji, asipotaka kwiba na kuchinja na kuangamiza. Mimi nimekuja, wakae wenye uzima na wenye vingine vyote.
Linganisha
Chunguza Yohana 10:10
2
Yohana 10:11
*Mimi ndiye mchungaji mwema; mchungaji mwema hujitoa kwa ajili ya kondoo.
Chunguza Yohana 10:11
3
Yohana 10:27
Kondoo wangu huisikia sauti yangu, nami nawajua, nao hunifuata.
Chunguza Yohana 10:27
4
Yohana 10:28
Nami nawapa uzima wa kale na kale; hawataangamia kale na kale, wala hakuna mtu atakayewapoka mkononi mwangu.
Chunguza Yohana 10:28
5
Yohana 10:9
Mimi ndio mlango. Mtu akiingilia kwangu mimi ataokoka, atakapoingia napo atakapotoka, apate malisho.
Chunguza Yohana 10:9
6
Yohana 10:14
Mimi ndiye mchungaji mwema, ninawatambua walio wangu, nao walio wangu hunitambua mimi
Chunguza Yohana 10:14
7
Yohana 10:29-30
Yeye Baba aliyenipa wale ni mkubwa kuliko wote; hakuna mtu anayeweza kuwapoka mkononi mwake Baba. Mimi na Baba tu mmoja.*
Chunguza Yohana 10:29-30
8
Yohana 10:15
ndivyo, kama Baba anavyonitambua mimi, na kama mimi ninavyomtambua Baba. Nami mwenyewe ninajitoa, nife kwa ajili ya kondoo.
Chunguza Yohana 10:15
9
Yohana 10:18
Hakuna anayenishurutisha hivyo, ila mimi ninajitoa mwenyewe. Nina uwezo wa kujitoa, nife, tena nina uwezo wa kuwapo tena. Hivi ndivyo, alivyoniagiza Baba yangu.
Chunguza Yohana 10:18
10
Yohana 10:7
Yesu akasema tena: Kweli kweli nawaambiani: Mimi ndio mlango wa kondoo.
Chunguza Yohana 10:7
11
Yohana 10:12
Lakini mfanya kazi, asiye mchungaji wala mwenye kondoo, huwaacha kondoo na kukimbia anapomwona chui, akija. Naye chui huwakamata na kuwatawanya.
Chunguza Yohana 10:12
12
Yohana 10:1
Kweli kweli nawaambiani: Asiyepita mlangoni, apate kuingia zizini mwa kondoo, akipandia pengine, huyo ni mwizi na mnyang'anyi.
Chunguza Yohana 10:1
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video