1
Matendo 19:6
Neno: Maandiko Matakatifu
Paulo alipoweka mikono yake juu yao, Roho wa Mwenyezi Mungu akawashukia, nao wakanena kwa lugha mpya na kutabiri.
Linganisha
Chunguza Matendo 19:6
2
Matendo 19:11-12
Mungu akafanya miujiza mingi isiyo ya kawaida kwa mkono wa Paulo, hivi kwamba leso au vitambaa vilivyokuwa vimegusa mwili wa Paulo viliwekwa juu ya wagonjwa, nao wakapona magonjwa yao, na pepo wachafu wakawatoka.
Chunguza Matendo 19:11-12
3
Matendo 19:15
Lakini pepo mchafu akawajibu, “Isa namjua na Paulo pia namjua, lakini ninyi ni nani?”
Chunguza Matendo 19:15
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video