1
Matendo 18:10
Neno: Maandiko Matakatifu
kwa maana mimi niko pamoja nawe, wala hakuna mtu atakayeweza kukushambulia ili kukudhuru, kwa kuwa ninao watu wengi katika mji huu ambao ni watu wangu.”
Linganisha
Chunguza Matendo 18:10
2
Matendo 18:9
Usiku mmoja Bwana Isa akamwambia Paulo katika maono, “Usiogope, lakini endelea kusema wala usinyamaze
Chunguza Matendo 18:9
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video