1
Matendo 17:27
Neno: Maandiko Matakatifu
Mwenyezi Mungu alifanya hivyo ili wanadamu wamtafute na huenda wakamfikia ingawa kwa kupapasapapasa ijapokuwa kwa kweli hakai mbali na kila mmoja wetu.
Linganisha
Chunguza Matendo 17:27
2
Matendo 17:26
Kutoka kwa mtu mmoja, yeye aliumba mataifa yote ya wanadamu ili waikalie dunia yote, naye akaweka nyakati za kuishi.
Chunguza Matendo 17:26
3
Matendo 17:24
“Mwenyezi Mungu aliyeumba dunia na vyote vilivyomo ndani yake, yeye ndiye Bwana wa mbingu na nchi, hakai katika mahekalu yaliyojengwa kwa mikono ya wanadamu.
Chunguza Matendo 17:24
4
Matendo 17:31
Kwa kuwa ameweka siku ambayo atauhukumu ulimwengu kwa haki akimtumia mtu aliyemchagua. Amewahakikishia watu wote mambo haya kwa kumfufua Al-Masihi kutoka kwa wafu.”
Chunguza Matendo 17:31
5
Matendo 17:29
“Kwa kuwa sisi ni watoto wa Mwenyezi Mungu, haitupasi kudhani kuwa uungu ni kama sanamu ya dhahabu au ya fedha au ya jiwe, mfano uliotengenezwa kwa ubunifu na ustadi wa mwanadamu.
Chunguza Matendo 17:29
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video