1
Matendo 4:12
Neno: Maandiko Matakatifu
Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hakuna jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.”
Linganisha
Chunguza Matendo 4:12
2
Matendo 4:31
Walipokwisha kuomba, mahali walipokuwa wamekutanika pakatikiswa, wote wakajazwa na Roho wa Mwenyezi Mungu, wakanena neno la Mungu kwa ujasiri.
Chunguza Matendo 4:31
3
Matendo 4:29
Sasa, Bwana Mwenyezi, angalia vitisho vyao na utuwezeshe sisi watumishi wako kulinena neno lako kwa ujasiri mkuu.
Chunguza Matendo 4:29
4
Matendo 4:11
Huyu ndiye “ ‘jiwe ambalo ninyi wajenzi mlilikataa, ambalo limekuwa jiwe kuu la pembeni.’
Chunguza Matendo 4:11
5
Matendo 4:13
Wale viongozi na wazee walipoona ujasiri wa Petro na Yohana na kujua ya kuwa walikuwa watu wa kawaida, wasio na elimu, walishangaa sana, wakatambua kwamba hawa watu walikuwa na Isa.
Chunguza Matendo 4:13
6
Matendo 4:32
Wale walioamini wote walikuwa na moyo mmoja na nia moja. Wala hakuna hata mmoja aliyesema chochote alichokuwa nacho ni mali yake mwenyewe, lakini walishirikiana kila kitu walichokuwa nacho.
Chunguza Matendo 4:32
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video