1
Mwanzo 30:22
Neno: Maandiko Matakatifu
Ndipo Mungu akamkumbuka Raheli, akasikia maombi yake na akafungua tumbo lake.
Linganisha
Chunguza Mwanzo 30:22
2
Mwanzo 30:24
Akamwita Yusufu na kusema, “BWANA na anipe mwana mwingine.”
Chunguza Mwanzo 30:24
3
Mwanzo 30:23
Akapata mimba na akamzaa mwana na kusema, “Mungu ameniondolea aibu yangu.”
Chunguza Mwanzo 30:23
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video