1
1 Samueli 2:2
Biblia Habari Njema
“Hakuna aliye mtakatifu kama Mwenyezi-Mungu; hakuna yeyote aliye kama yeye; hakuna aliye mwamba kama Mungu wetu.
Linganisha
Chunguza 1 Samueli 2:2
2
1 Samueli 2:8
Huwainua maskini toka mavumbini; huwanyanyua wahitaji toka majivuni, akawaketisha pamoja na wakuu, na kuwarithisha viti vya heshima. Maana, minara ya dunia ni ya Mwenyezi-Mungu; yeye ameisimika dunia juu ya minara yake.
Chunguza 1 Samueli 2:8
3
1 Samueli 2:9
“Maisha ya waaminifu wake huyalinda, lakini maisha ya waovu huyakatilia mbali gizani. Maana, binadamu hapati ushindi kwa nguvu zake.
Chunguza 1 Samueli 2:9
4
1 Samueli 2:7
Mwenyezi-Mungu huwafanya baadhi wawe maskini, na baadhi wawe matajiri. Wengine huwashusha, na wengine huwakweza.
Chunguza 1 Samueli 2:7
5
1 Samueli 2:6
Mwenyezi-Mungu huua na hufufua; yeye huwashusha chini kuzimu naye huwarudisha tena.
Chunguza 1 Samueli 2:6
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video