1
Amosi 8:11
Biblia Habari Njema
Bwana Mwenyezi-Mungu asema, “Siku zaja ambapo nitaleta njaa nchini. Lakini sio njaa na kiu ya chakula na maji, bali njaa ya kusikia maneno ya Mwenyezi-Mungu.
Linganisha
Chunguza Amosi 8:11
2
Amosi 8:12
Watu watatangatanga kutoka bahari hata bahari, kutoka upande wa kaskazini mpaka mashariki. Watakimbia huko na huko wakitafuta neno la Mwenyezi-Mungu, lakini hawatalipata.
Chunguza Amosi 8:12
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video