1
Danieli 1:8
Biblia Habari Njema
Lakini Danieli aliamua kutojitia unajisi kwa kula chakula bora cha mfalme na kunywa divai yake. Kwa hiyo, alimwomba towashi mkuu amruhusu asile vitu hivyo na kujitia unajisi.
Linganisha
Chunguza Danieli 1:8
2
Danieli 1:17
Mungu aliwajalia vijana hao wanne maarifa na ujuzi katika elimu na hekima. Zaidi ya hayo, alimjalia Danieli kipawa cha kufasiri maono na ndoto.
Chunguza Danieli 1:17
3
Danieli 1:9
Basi, Mungu akamjalia Danieli kupendelewa na kuhurumiwa na Ashpenazi, towashi mkuu.
Chunguza Danieli 1:9
4
Danieli 1:20
Jambo lolote la hekima au maarifa ambalo mfalme aliwauliza alijionea mwenyewe kwamba vijana hao wanne walikuwa bora mara kumi kuliko waaguzi na wachawi wote katika utawala wake.
Chunguza Danieli 1:20
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video