1
Isaya 65:24
Biblia Habari Njema
Hata kabla hawajaniita, mimi nitawaitikia; kabla hawajamaliza kusema, nitakuwa nimewajibu.
Linganisha
Chunguza Isaya 65:24
2
Isaya 65:17
“Sasa, naumba mbingu mpya na dunia mpya. mambo ya zamani hayatakumbukwa tena.
Chunguza Isaya 65:17
3
Isaya 65:23
Kazi zao hazitakuwa bure, wala hawatazaa watoto wa kupata maafa; maana watakuwa waliobarikiwa na Mwenyezi-Mungu, wamebarikiwa wao pamoja na wazawa wao.
Chunguza Isaya 65:23
4
Isaya 65:22
Hawatajenga nyumba zikaliwe na watu wengine, wala kulima chakula kiliwe na watu wengine. Maana watu wangu niliowachagua wataishi maisha marefu kama miti; wateule wangu watafurahia matunda ya jasho lao.
Chunguza Isaya 65:22
5
Isaya 65:20
Hakutakuwa tena na vifo vya watoto wachanga, wazee nao hawatakufa kabla ya wakati wao. Akifa mtu wa miaka 100 amekufa akiwa kijana; na akifa kabla ya miaka 100 ni balaa.
Chunguza Isaya 65:20
6
Isaya 65:25
Mbwamwitu na kondoo watakula pamoja, simba watakula nyasi kama ng'ombe, nao nyoka chakula chao kitakuwa vumbi. Katika mlima wangu wote mtakatifu, hakuna atakayeumiza au kuharibu kitu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Chunguza Isaya 65:25
7
Isaya 65:19
Nami nitaufurahia mji wa Yerusalemu, nitawafurahia watu wangu. Sauti ya kilio haitasikika tena, kilio cha taabu hakitakuwako.
Chunguza Isaya 65:19
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video