1
Obadia 1:17
Biblia Habari Njema
“Lakini mlimani Siyoni watakuwapo wale waliosalimika nao utakuwa mlima mtakatifu. Wazawa wa Yakobo wataimiliki tena nchi iliyokuwa yao.
Linganisha
Chunguza Obadia 1:17
2
Obadia 1:15
“Siku inakaribia ambapo mimi Mwenyezi-Mungu nitayahukumu mataifa yote. Kama mlivyowatendea wengine, ndivyo mtakavyotendewa, mtalipwa kulingana na matendo yenu.
Chunguza Obadia 1:15
3
Obadia 1:3
Kiburi chako kimekudanganya: Kwa kuwa mji wako mkuu ni ngome ya miamba imara na makao yako yapo juu milimani, hivyo wajisemea, ‘Nani awezaye kunishusha chini?’
Chunguza Obadia 1:3
4
Obadia 1:4
Hata ukiruka juu kama tai, ukafanya makao yako kati ya nyota, mimi nitakushusha chini tu. Nasema mimi Mwenyezi-Mungu.
Chunguza Obadia 1:4
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video