1
Zaburi 96:4
Biblia Habari Njema
Maana Mwenyezi-Mungu ni mkuu, anasifika sana; anastahili kuheshimiwa kuliko miungu yote.
Linganisha
Chunguza Zaburi 96:4
2
Zaburi 96:2
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu na kulisifu jina lake. Tangazeni kila siku matendo yake ya wokovu.
Chunguza Zaburi 96:2
3
Zaburi 96:1
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu wimbo mpya! Mwimbieni Mwenyezi-Mungu, ulimwengu wote!
Chunguza Zaburi 96:1
4
Zaburi 96:3
Yatangazieni mataifa utukufu wake, waambieni watu wote matendo yake ya ajabu.
Chunguza Zaburi 96:3
5
Zaburi 96:9
Mwabuduni Mwenyezi-Mungu katika patakatifu pake; tetemekeni mbele yake ee dunia yote!
Chunguza Zaburi 96:9
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video