1
Zaburi 95:6-7
Biblia Habari Njema
Njoni tusujudu na kumwabudu; tumpigie magoti Mwenyezi-Mungu, Muumba wetu! Maana yeye ni Mungu wetu, nasi ni watu wa kundi lake, ni kondoo wake anaowachunga. Laiti leo mngesikiliza sauti yake
Linganisha
Chunguza Zaburi 95:6-7
2
Zaburi 95:1-2
Njoni tumwimbie Mwenyezi-Mungu, tumshangilie mwamba wa wokovu wetu! Twende mbele zake na shukrani; tumshangilie kwa nyimbo za sifa.
Chunguza Zaburi 95:1-2
3
Zaburi 95:3
Maana Mwenyezi-Mungu, ni Mungu mkuu; yeye ni Mfalme mkuu juu ya miungu yote.
Chunguza Zaburi 95:3
4
Zaburi 95:4
Vilindi vyote vya dunia vimo mikononi mwake, vilele vya milima ni vyake.
Chunguza Zaburi 95:4
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video